Njia 5 rahisi kwa wanaoanza kupata pesa mtandaoni
Utangulizi
Katika ulimwengu wa kidigitali,Kuna Fursa nyingi za kupata Hela mtandaoni bila kuwa na ofisi Wala mtaji mkubwa. Usijali makala hii itaakupa mwongozo wa njia rahisi zitakazo kuweka zesha kupata pesa mtandaoni
1.kazi za uhuru (freelancing)
Ni njia maarufu inayokuwezesha kupata pesa mtandaoni kwa kutoa huduma kama
.uandishi wa makala
.ubunifu wa picha (graphics design)
.uhariri wa video
.kutafsiri lugha
Jinsi ya kuanza
.jiunge na tovuti kama
_https://www.fiverr.com
_https://www.upwork.com
.Jaza taarfa zako na ujuzi wako Kisha anza na bei ya ushindani
2 utafiti wa mtandaoni(online surveys)
Makampuni mengi yanahitaji maoni ya watumiaji kuhusu bidhaa zao au huduma zao
Majukwaa maarufu kama
.swagbucks
.toluna
. inboxDollars
_Kazi rahisi na huna haja ya ujuzi
_mapato ya haraka japokuwa ni madogo
3 Affiliate marketing
Ni njia ya kupata kamisheni kwa kuuza bidhaa za watu wengine mtandaoni
Jinsi ya kuangalia
.jiunge na programu za affiliate kama:
-Amazon affiliate
_jumia affiliate
Kisha weka viungo vya affiliate kwenye blogu yako au mitandao ya kijamii
4 Dropshipping
Ni njia ya kuuza bidhaa mtandaoni bila kuhifaadhi mzigo
Jinsi ya kuanza
.fungua duka kwenye majukwaa kama
_shopify
_wooCommerce
Kisha tafuta msambazaji mzuri kwenye tovuti kama AliExpress
.tangaza bidhaa zako kupitia mitandao ya kijamii
5 uandishi wa blogu au maudhui
Ikiwa unapenda kuandika unaweza kuanzisha blogu ambayo itakutengenezea kipato kupitia
.google ad kwaajili ya matangazo
.Affiliate marketing
.kukuza huduma au bidhaa zako
Hitimisho
*Kupata pesa mtandaoni ni rahisi iwapo utaamua kujifunza na kuchukua hatua
Je, umejaribu mojawapo ya njia hizi
?tuambie maoni yako kama una maswali usisite kuwasiliana nasi
Comments
Post a Comment